An-nuur Logo
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na. 185 Shawwal 1419, Januari 22 - 28, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita


Waislamu wataka serikali iwajibike
  Waislamu wameendelea kusisitiza kuwa haki itendeke kwa tume huru kuundwa, walioua wafikishwe kwenye vyombo vya Sheria na baadhi ya viongozi wa Serikali na vyombo vyake wawajibishwe kutokana na utendaji wao kuwa wa jazba ambao haukuzingatia katiba wala sheria za nchi kuhusiana na kadhia ya mwembechai.

Msisitizo huo ulitolewa katika Baraza la Idd lililofanyika jumanne wiki hii katika Msikiti wa Mtambani uliopo wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam.  Endelea


YALIYOMO
Tahariri
Fundisho toka Mtambani

Waislamu wataka serikali iwajibike

Serikali yakiri kupokea malalamiko ya Waislamu: Mkapa awataka Watanzania waepuke kubaguana

Mtambani wasema kamwe hawakubali pumbao la kisiasa

Maoni: Kweli ikisimama uongo hujitenga

MARADHI YA KISAIKOLOJIA:  TRANSVESTISM

Mjue Usama bin Ladin

Risala ya Waislamu katika Baraza la Idd  kwa Mgeni Rasmi Rais  Benjamin Mkapa

Wafanyakazi TANESCO waingiwa hofu ya wingu la udini

Hotuba ya Rais Mkapa kwenye Baraza la Idd Diamond Jubilee Jan. 19, 1999

Makala: Hotuba ya Mkapa, Magazeti ya Ruzuku na Waislamu
Na J. Hussein

Kutoka magazeti ya zamani: Washitakiwa walipelelezwa

Hivi siku ya ibada ni ipi?: Ijumaa, Jumamosi au Jumapili?
Na Mwinjilisti Bunga E. Dettu

'Msitarajie kupambana na adui kwa upanga wa Hamza'

Sasa ni kulishwa nguruwe kwa nguvu

Sayansi na Teknolojia
[KUPELEKA  FAX NCHI ZA NG'AMBO BURE!]

Masomo ya Dini ya Kiislamu
[Historia: Form IV: Upinzani dhidi ya Serikali ya Kiislamu wakati wa Khalifa wa Tatu Uthman bin Affan]

Barua za Wasomaji
[Salamu za  Edd-El-Fitr kutoka DAMUSA] [Kuanzishwa kwa gazeti na radio, historia kujirudia?] [Kilio cha Padri Luambano kujirudia 1999?] 

Mashairi
[Kheri tisini na nane] [Kheri tisini na nane; Si ngomayo usicheze (jibu)] [Misukosuko ikoje! (jibu)] 

Chakula na lishe
[Faida na  hasara za kupika chakula]
 


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book