|
Na.163 Rabiul Thani 1419, Agosti 21 - 27, 1998 |
|
Shirika la Africa Muslims Agency linakaribisha maombi ya kazi ya Ualimu. 1. Shahada. 2. Diploma Wenye uzoefu wanayo nafasi zaidi. NB: Shule zetu zipo Dar es Salaam, Tanga, Moshi, Mtwara na Morogoro. Maombi yakiwa yameambatanishwa na vyeti yatumwe kwa: Mkuu wa Idara ya Elimu, Africa Muslims Agency, P.O. Box 9211, Dar es Salaam Interview itafanyika tarehe 22/9/1998
Al-Farooq Boys Sec. School
Nafasi za kidato cha kwanza 1999 Form kwa ajili ya nafasi za masomo kidato cha kwanza 1999 zinapatikana sehemu zifuatazo: 1. Ofisi ya Mkuu wa Shule Al-Farooq, Tabata. 2. Ofisi ya gazeti la AN-NUUR Kariakoo mtaa wa Mahiwa/ Livingstone karibu na Msikiti wa Mtoro. Siku ya mwisho kuchukua na kurudisha form ni tarehe 2/12/1998. Mtihani wa usaili utafanyika shuleni
Tabata tarehe 5/12/1998, saa 2 kamili asubuhi.
MASOMO YA ZIADA KWA WANAFUNZI WANAOJIANDAA KUINGIA FORM I - 1999 Masomo yataanza tarehe 15/10/1998 hadi tarehe 15/1/1999. Kila mwezi ada ni Tshs 10,000/=. Masomo yatakayofundishwa ni Hesabu, Kiingereza na maarifa ya Uislamu. MKUU WA SHULE
|
Milipuko ya mabomu Dar, Nairobi: Waislamu
walaani vyombo vya habari
Wanawake Waislamu Tanga waazimia kupigania
haki
Marekani yashambulia Sudan, Afghanistan Maoni: Kulipuliwa kwa Ubalozi wa Marekani:
Nguruwe kuzua tafrani Kibamba
Sheikh Mbukuzi ataka vijana
wajihadhari na utamaduni wa Magharibi
TAMPRO kuzindua Tawi Iringa
Tamasha la kusaidia wagonjwa
laanza Moro
Kambi ya matibabu ya Macho Tanga
yaanza
MAONI: Kanisa mshiriki wa ukandamizaji Porojo za Ngatara
Ubatizo kupitia TVZ?
MAPENDEKEZO YA KATIBA YA
Hoja binafsi: Uhusiano na Marekani
usituletee maafa
Wanamume toeni haki za
wanawake kuepusha ufisadi
MAKALA: Hoja za kutofautisha Yesu
na Issa ni udhaifu, ni uzushi mtupu! - 2
Mwanaadamu alipofikia
|
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu:
Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtanzania.org