AN-NUUR
Na.163 Rabiul Thani 1419, Agosti 21 - 27, 1998
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
Habari za Kimataifa

Waislamu Kosovo waangamizwa


 






MAJESHI ya Waserbia wa Yugoslavia yanaendelea kuwaua Waislamu wa Kosovo, huku jumuiya ya kimataifa ikiwa kimya bila ya kuchukua hatua zozote za msingi. 

Maelfu ya Waislamu wamekwishauliwa ,maelfu kuwa wakimbizi na wengine kukosa makazi baada ya majumba yao kushambuliwa na Waserbia.

Kuepuka mashambulizi hayo, wengi wameyakimbia makazi yao na kutafuta hifadhi huko Mecedonia, Albania na Montenegro.

Ili kuepusha hisia za Waislamu, mauaji haya yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa Kosovo wanao taka kujitawala wenyewe kutoka shirikisho la Yugoslavia (Serbia na Montenegro), yamekuwa yakiripotiwa na vyombo vya habari kama ni mapambano kati ya majeshi ya Serbia chini ya Rais Slobodan Milosovic na watu wa jimbo la Kosovo wenye asili ya Albania. Haitajwi kwamba ni Waislamu.

Kosovo ni sehemu ya Serbia ambapo takriban asilimia 90 ya raia wake ni Waislamu ambao awali walitokea Albania.
 

Juu

YALIYOMO



TAHARIRI

Milipuko ya mabomu Dar, Nairobi: Waislamu walaani vyombo vya habari
Na Mwandishi wetu

Wanawake Waislamu Tanga waazimia kupigania haki
Na Ibn Masoud, Tanga

Marekani yashambulia Sudan, Afghanistan

Maoni: Kulipuliwa kwa Ubalozi wa Marekani:
Huu ni unazi au sehemu ya mtandao?

Nguruwe kuzua tafrani Kibamba
Na Mwandishi Wetu

Sheikh Mbukuzi ataka vijana wajihadhari  na utamaduni wa Magharibi
Na Said Shariff

TAMPRO kuzindua Tawi Iringa
Na Mwandishi Wetu

Tamasha la kusaidia wagonjwa laanza Moro
Rajab Rajab na Mussa Ally, Morogoro

Kambi ya matibabu ya Macho Tanga yaanza
Na Mwandishi Wetu

MAONI: Kanisa mshiriki wa ukandamizaji

Porojo za Ngatara
Na J. Hussein

Ubatizo kupitia TVZ?
Na Salahuddin Ahmad

Waislamu Kosovo waangamizwa

MAPENDEKEZO YA KATIBA YA 
SHIRIKISHO LA TANZANIA -2

Hoja binafsi: Uhusiano na Marekani usituletee maafa
Na Said Rajab

Darasa la Muhammad (s.a.w)

Wanamume toeni haki  za wanawake kuepusha ufisadi
Na Halima Issa Ndabi,  Mwanza

MAKALA: Hoja za kutofautisha Yesu na Issa ni udhaifu,  ni uzushi mtupu! - 2
Na Muhibu Said

Mwanaadamu alipofikia
Na Nineka B.N., Geita

Mafunzo ya Quran

Barua za wasomaji

Mashairi

Masomo ya dini ya Kiislam

Chakula na Lishe

Matangazo

 

 Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu:
Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita