An-nuur Logo
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na.163 Rabiul Thani 1419, Agosti 21 -27, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet


Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Milipuko ya mabomu Dar, Nairobi: Na Mwandishi Wetu

WAISLAMU wamevilaumu vyombo vya habari kwa kuihusisha dini yao na ulipuaji wa mabomu ya kigaidi mjini Nairobi.

Baraza Kuu la Waislamu Kenya (SUPKEM) limesema kwamba Waislamu hawakubaliani na vitendo vyovyote vya kinyama na hivyo hawawezi kuhusika kwa namna yoyote na ulipuaji wa mabomu. Endelea....


Marekani yashambulia Sudan, Afghanistan

Watu wengi wahofiwa kujeruhiwa, kufa

Ndege za kijeshi za Marekani zimeshambulia Sudani na Afghanistan jana (Alhamisi) saa tatu usiku wa kwa majira ya Afrika mashariki.

Kwa mujibu wa matangazo ya CNN, mashambulizi hayo ya yamefanywa kufuatia tuhuma kwamba nchi hizo zinahusika na milipuko ya mabomu kwenye balozi za Marekani katika miji ya Nairobi na Dar es salaam. Endelea...



YALIYOMO

TAHARIRI

Milipuko ya mabomu Dar, Nairobi: Waislamu walaani vyombo vya habari
Na Mwandishi wetu

Wanawake Waislamu Tanga waazimia kupigania haki
Na Ibn Masoud, Tanga

Marekani yashambulia Sudan, Afghanistan

Maoni: Kulipuliwa kwa Ubalozi wa Marekani:
Huu ni unazi au sehemu ya mtandao?

Nguruwe kuzua tafrani Kibamba
Na Mwandishi Wetu

Sheikh Mbukuzi ataka vijana wajihadhari  na utamaduni wa Magharibi
Na Said Shariff

TAMPRO kuzindua Tawi Iringa
Na Mwandishi Wetu

Tamasha la kusaidia wagonjwa laanza Moro
Rajab Rajab na Mussa Ally, Morogoro

Kambi ya matibabu ya Macho Tanga yaanza
Na Mwandishi Wetu

MAONI: Kanisa mshiriki wa ukandamizaji

Porojo za Ngatara
Na J. Hussein

Ubatizo kupitia TVZ?
Na Salahuddin Ahmad

Waislamu Kosovo waangamizwa

MAPENDEKEZO YA KATIBA YA 
SHIRIKISHO LA TANZANIA -2

Hoja binafsi: Uhusiano na Marekani usituletee maafa
Na Said Rajab

Darasa la Muhammad (s.a.w)

Wanamume toeni haki  za wanawake kuepusha ufisadi
Na Halima Issa Ndabi,  Mwanza

MAKALA: Hoja za kutofautisha Yesu na Issa ni udhaifu,  ni uzushi mtupu! - 2
Na Muhibu Said

Mwanaadamu alipofikia
Na Nineka B.N., Geita

Mafundisho ya Quran

Barua za wasomaji

Mashairi

Masomo ya dini ya Kiislam

Chakula na Lishe
 
Matangazo
 


 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi:
Bonyeza hapa
Au
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book