An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na.162 Rabiul Thani 1419, Agosti 14 -20, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet


Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Serikali yaipongeza Africa Muslim Agency Na Mwandishi Wetu, Moshi

Serikali imesema kwamba inathamini sana huduma za elimu, afya na ustawi wa jamii zinazotolewa na mashirika ya kidini.
Aidha Serikali imetoa shukurani kwa wahisani wa miradi hiyo na kusisitiza kwamba Serikali inathamini sana juhudi za mashirika ya dini kwa mchango wake katika kuboresha huduma za jamii na kutoa misaada ya kibinaadamu. .. endelea

 
Athari ya milipuko Dar, Nairobi:
Waliokufa wafikia 258 Na Mwandishi Wetu

Idadi ya watu waliokufa katika milipuko ya mabomu mjini Dar es Salaam na Nairobi imedaiwa kufikia 258 hadi kufikia jana, 248 wakiwa ni waliokufa Nairobi na 10 Dar es Salaam.

Waliokufa katika tukio la Dar es Salaam wametajwa kwamba ni Ramadhani Mahundi, Mtendeje Rajabu, Abbas William na Omar Ahmed Nyumbu. Wengine ni Abdallah Mohamed, Dotto Selemani, Abrahman Abdallah; Hassan Siyad na Yusuf Shamte. Maiti moja ilikuwa haijatambuliwa.  ..endelea


YALIYOMO
 
TAHARIRI 

Serikali yaipongeza Africa Muslim Agency 
Na Mwandishi Wetu, Moshi 

Wanafunzi Wakatoliki darasa la saba 1998: 
Afisa Elimu akiri kutaka orodha ya wanafunzi 
Na Mwandishi Wetu, Morogoro 

Athari ya milipuko Dar, Nairobi: Waliokufa wafikia 258 
Na Mwandishi Wetu 

Wakuu wa mashule waache ubaguzi 
Na Mwandishi Wetu 

ABU AMEENA: Mwana harakati aliyesilimisha wanajeshi 3000 wa Marekani -2 

Kisiwa cha Karafuu chageuzwa cha ulevi 

Twalaban wadhibiti Afghanistan yote 

Madina yachapisha kitabu cha rejea 

MAPENDEKEZO YA KATIBA YA SHIRIKISHO LA TANZANIA 

Maoni: Nyerere kasema kweli Ujamaa na Ukristo vimeshindwa 
Na Abdul Gullam 

Kina Ngatara na wenzake ndio urithi tulioachiwa na Wakoloni 
Na J. Hussein 

HOJA BINAFSI: Suala la Mwembechai, serikali imeumbuka 
Na Mwinjilisti Kamara Kusupa 

Kupigwa mabomu misikitini: Waislamu tumejifunza nini? 
Na RAJAB RAJAB

MAONI: Hoja za kutofautisha Yesu na Issa ni udhaifu na ni uzushi mtupu!
Na Muhibu Said

Utangazeni Uislamu kwa nguvu zote – Sheikh Jongo
Na Badru Kimwaga

Salafiya wataka wanawake wawe macho na vyombo vya habari
Na Mwandishi Wetu

Waumini Misufini Morogoro waazimia kujenga Msikiti
Na Rajab Rajab, Morogoro

Serikali yatakiwa kuondoa askari Mwembechai
Na Badru Kimwaga

Mafunzo ya Quran 

Barua za wasomaji 

Mashairi 

Masomo ya dini ya Kiislam 

Mafundisho ya Chakula na Lishe 
 

 
 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi:
Bonyeza hapa
Au
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book