|
|
| Home |
Uvamizi wa Polisi Mwembe Chai:
Hali ya mwanafunzi Chuki Athumani (17) aliyepigwa risasi na Polisi Februari 13; bado hali yake si ya kuridhisha na anaendelea kufungwa pingu kitandani japo hawezi kutembea. Kutokana na kupooza sehemu za chini kuanzia sehemu za tumboni;. Mwanafunzi Chuki anahitaji kusaidiwa mara kwa mara; kugeuzwa; kusafishwa na kubadilishiwa nguo. Lakini kutokana na kuhesabiwa kama mhalifu; kunyimwa dhamana na watu kukatazwa kumuona, Chuki amekosa msaada huo hali inayompelekea kuota vidonda.Mwandishi wa habari hizi aliyebahatika kumuona Juni 9, alimkuta akiwa kalalia tumbo (kifudifudi) ikiwa ni namna ya kumsaidia ili kuvipa nafuu vidonda vilivyo sehemu za nyuma na miguuni. Akizungumza kwa uchungu mama mzazi wa Chuki Athumani Bi Safia Mohamed (54) alisema anasikitika kwamba mtoto wake pamoja na kuwa hawezi kutembea wala kujisaidia yeye mwenyewe bado anafungwa pingu.Alisema wakati mwingine huja kumsaidi, kumsafisha na kumpa chakula mwanawe lakini humkuta akiwa na pingu kwa hiyo inabidi Hali ya mwanafunzi Chuki Athumani (17) aliyepigwa risasi na Polisi Februari 13; bado hali yake si ya kuridhisha na anaendelea kufungwa pingu kitandani japo hawezi kutembea. Kutokana na kupooza sehemu za chini kuanzia sehemu za tumboni;. Mwanafunzi Chuki anahitaji kusaidiwa mara kwa mara; kugeuzwa; kusafishwa na kubadilishiwa nguo. Lakini kutokana na kuhesabiwa kama mhalifu; kunyimwa dhamana na watu kukatazwa kumuona, Chuki amekosa msaada huo hali inayompelekea kuota vidonda. Mwandishi wa habari hizi aliyebahatika kumuona Juni 9, alimkuta akiwa kalalia tumbo (kifudifudi) ikiwa ni namna ya kumsaidia ili kuvipa nafuu vidonda vilivyo sehemu za nyuma na miguuni. Akizungumza kwa uchungu mama mzazi wa Chuki Athumani Bi Safia Mohamed (54) alisema anasikitika kwamba mtoto wake pamoja na kuwa hawezi kutembea wala kujisaidia yeye mwenyewe bado anafungwa pingu. Alisema wakati mwingine huja kumsaidi, kumsafisha na kumpa chakula mwanawe
lakini humkuta akiwa na pingu kwa hiyo inabidi
|
Uvamizi wa Polisi Mwembe Chai: Mwanafunzi aliyepigwa risasi apooza Muhimbili Maoni yetu: Vipi watu wafurahie mateso ya wengine? Wanawake wakutana na kudai:
Gewe, Makamba wajiuzulu
Waraka wa Baraza Kuu kwa Mh. Rais Mmiliki wa Biblia na mbinu za kuhubiri MAKALA:
MAKALA MAALUM
Mdahalo juu ya kudhulumiwa Waislamu: Tuache hisia na kejeli, tutoe hoja Hali ilivyokuwa kwenye shule za Misheni Makala: Baada ya miaka 34 Zanzibar yakosa Majaji - na S. Mzee Bakwata ithamini juhudi za wengine Masheih Arusha wamuunga mkono
K.K.
Makamba aliongezea AN-NUUR 'Mashitaka' MSAUD wafikisha suala la Chuki
AMNESTY
|
| An-nuur Home | Links | Islam Tanzania | Matoleo yaliyopita |