An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania ISSN 0856-3862 Na.180 Shaaban 28 - Ramadha 1419, Desemba 18 - 24, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Marekani yadhihirisha Ubeberu wake

KWA mara nyingine Marekani imeonyesha ubabe na uharamia wake kwa kuishambulia Iraq. Shambulio hili limedhihirisha jambo moja muhimu kwamba Marekani ipo tayari kufanya lolote na bila kujali chochote ikiwa ni pamoja na kuua ili muradi tu si Wamarekani, ili kuhamisha matatizo yao au kulinda maslahi yao binafsi.  Endelea
 

Mauaji ya Mwembechai:
Spika wa Bunge aombwa atoe gharama za kuunda Tume
  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ameombwa kutoa gharama za kuunda tume itakayochunguza suala la mauaji ya Mwembechai pamoja na kudhalilishwa wanawake.

Ombi hilo limetolewa na wanawake Waislamu katika kongamano lao lililofanyika mjini Bagamoyo mwishoni mwa wiki iliyopita.  Endelea..


YALIYOMO
Tahariri
Umaskini unachafua mazingira!

Mauaji ya Mwembechai: Spika wa Bunge aombwa atoe gharama za kuunda Tume

UWAWARU yafa Rufiji

UN yaidhinisha udhalimu wa Marekani

Qur’an yachomwa moto Shinyanga

Marekani yadhihirisha Ubeberu wake

MARADHI YA KISAIKOLOJIA: SEXUAL SADISM
Na. Abu Halima Sachangwa

Kitengo cha Zaka chazinduliwa Dar

Tume ya Jiji kubomoa Msikiti wa vipofu

Akheri ya zamani
Na Alhaj Yusuf Kalala, Washington DC. USA

UWAWARU yaleta nusura Ikwiriri

Tamko la Masjid NNUUR juu ya kuanzishwa kwa UWAWARU

Kuanzishwa kwa UWAWARU

Wasomi Waislamu wawajibike
Na Mwandishi Wetu

Albucasis  936 - 1013 (CE)

Ijue Uhuru madrasa - Morogoro

Madrasa Akhlaqil Islamiya yapiga hatua

MADRASATUL Husseiniyi Shadhily
Na Jamillah Nassoro
 
Hatimaye kesi ya kushambulia kituo nayo yafutwa

Changieni vyombo vya mihadhara - Sheikh Said

Misikiti yakosa maji ya kutawadhia

Bakwata Tanga haifuati katiba yake

Sheikh Mbukuzi ataka Waislamu watafute radhi za Allah

Je, hivi tuendelee kushika amri za Mungu tena? - 3
Na Mwinjilisti Bunga E. Dettu

Njia ya uzimani ni nyembamba,  waionao ni wachache - 3
Na Yasin Valerian Massawe

Sheikh Omar Bashir afikishwa mahakamani

Mufti pekee kuidhinisha watu kufunga

Nguruwe wanaofugwa maeneo wanayoishi watu kusababisha magonjwa ya kuambikiza

200 wamesilimu

Sayansi na Teknolojia 
[Kuiweka Modem kwenye Kompyuta] 
 
Masomo ya Dini ya Kiislamu 
[Historia: Form IV: Upinzani dhidi ya Serikali ya Kiislamu wakati wa Khalifa wa Kwanza

Barua za Wasomaji 
[Hongera, shukrani Mohammed Said] [Kutolewa kibali cha silaha, Waislamu Tanzania tumekwisha] [Madai ya mashujaa wa vita vya Kagera] [Napinga muungano wa Waislamu na Wakristo Rufiji] 

Mashairi 
[Mwokozi Mwenyezi Mungu, siyo Yesu asilani (jibu la mwokozi Yesu)] [Mtukufu Ramadhani]  

Chakula na lishe 
[Mlo wa Daku] 
 
Tangazo 
New Book: The untold story of the Muslim struggle against British Colonialism in Tanganyika. 
 

 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org 
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book