AN-NUUR
Na.165 Jamadul Awwal 1419, Septembe 4 - 10, 1998
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
Al-Farooq Boys Sec. School 

Nafasi za kidato cha kwanza 1999 

Form kwa ajili ya nafasi za masomo kidato cha kwanza 1999 zinapatikana sehemu zifuatazo: 

1. Ofisi ya Mkuu wa Shule Al-Farooq, Tabata. 

2. Ofisi ya gazeti la AN-NUUR Kariakoo mtaa wa Mahiwa/ Livingstone karibu na Msikiti wa Mtoro. 

Siku ya mwisho kuchukua na kurudisha form ni tarehe 2/12/1998. 

Mtihani wa usaili utafanyika shuleni Tabata tarehe 5/12/1998, saa 2 kamili asubuhi. 

  

MASOMO YA ZIADA KWA WANAFUNZI WANAOJIANDAA KUINGIA FORM I - 1999 

Masomo yataanza tarehe 15/10/1998 hadi tarehe 15/1/1999. 

Kila mwezi ada ni Tshs 10,000/=.  

Masomo yatakayofundishwa ni Hesabu, Kiingereza na maarifa ya Uislamu. 

MKUU WA SHULE 
 

 
  MIHADHARA YAANZA 

AL-MALLID itafanya mihadhara kama ifuatavyo: 

Ijumaa tarehe 4/9/1998 mpaka Jumapili 6/9/1998 

    Muhadhara utakuwa viwanja vya Shoka Mburahati Dar es Salaam.
 

Jumatatu 7/9/1998 mpaka Jumatano 9/9/1998 
 

    Muhadhara utakuwa Msikiti wa Makuti Mwananyamala Dar es Salaam
  
Ijumaa 11/9/1998 mpaka Jumapili 13/9/1998 
 
    Muhadhara utakuwa viwanja vya Ukombozi Mabibo karibu na Chuo cha Usafirishaji
 

Kila siku utaanza saa 8 mchana mpaka saa 4 usiku. 
 

Watu wa dini zote mnakaribishwa
 
 

AL-AZHAR ISLAMIC CENTRE 

Box 65, Mlandizi, Pwani 

Mnada wa kuchangia jengo la Madrasa 

MAKALA/HABARI 

Uongozi wa chuo kilichotajwa hapo juu kinaawarifu waumini wote wa Msikiti huu kuwa siku ya Jumapili tarehe 6/9/1998 kuanzia saa kumi (10) jioni ya kuwa kutakuwa na mnada wa kuchangia ujenzi wa Chuo cha Kiislamu ambacho kitatoa elimu zote mbili kwa watoto wetu 

Mnada huo utaendeshwa na mgeni wa heshima ambaye ni 

Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi 

Mnada utafanyika uwanja wa Chuo uliopo nyuma ya soko kuu la Mlandizi. 

Waumini mnaombwa mshiriki katika mnada huo kwa kununua vitu vitakavyonadiwa 
 

Wabilah Tawfiq 

  
MWALIMU MKUU 

AZ-AZHAR ISLAMIC CENTRE MLANDIZI 



Taarifa Maalum  IBADA YA UMRAH KWA TSHS. 500,000 

1.Utaratibu wa kujiandikisha kwa safari za Hijja miaka ya 1999, 2000 kwa kulipia kidogo kidogo bado unaendelea (Lipa kwa kadiri ya uwezo wako). 

2.Safari za Umrah kila mwezi - Agosti, Septemba, Oktoba, Novemba na Umrah ya kumi la mwisho wa mwezi wa Ramadhani uandiksiahji umeshaaza. 

3.Kwa maelezo zaidi au fomu, fika ofisini - Mtaa wa Kleist Sykes (Kipata) nyuma ya jengo la Ushirika (Lumumba) au piga simu Na. 182370 ofisini au Katibu - 0812-783-016, Katibu Msaidizi - 0812-780-366. 

Pia fomu zinapatikana TIC Magomeni Simu Na. 170664 DSM na Ofisi ya AN-NUUR Mtaa wa Mahiwa Simu Na. 181365 DSM. Zanzibar - Next Step: Simu Na. 32004, Alhaj Zaghloul Ajmiy Tel: 0811-337727 

Safari ya Umrah ya wiki moja kwa ndege ya Air Tanzania kuondoka tarehe 12/9/1998 kurudi tarehe 21/9/1998. 

Tsh. 500,000 ni pamoja na nauli na kodi ya kiwanja, usafiri Jeddah, Makka na Madina, malazi bila chakula. 

A.M. JABIR 

KATIBU

Juu 
 
YALIYOMO
 
 

TAHARIRI 
HAKI YA KUABUDU MASHULENI: Hoja ya uwingi isizuie haki ya wachache 

Aliyeandika Yesu si Mungu bado akabiliwa na kesi 
Na Mwandishi Wetu 

Wazazi walia na Mkuu wa shule Mkwawa 
Na Mwandishi Wetu, Iringa 

Serikali iache kudhulumu  Waislamu - Bakwata  
Na Mwandishi Wetu

KESI YA MIRATHI: Hukumu ya Jaji Agostino yatupwa 
Na Mwandishi Wetu 

Sumaye sasa atoa ‘waadhi’ Msikitini 
Na Mwandishi Wetu, Arusha 

Sekondari ya Kiislamu Sumbawanga, mtihani kwenu – Sheikh Akilimali 
Na Harun Rashid, Sumbawanga 

37 wasilimu  Mwanza 
Na Mwandishi Wetu, Mwanza 

Akamatwa kwa kusoma gazeti la ANNUUR ! 

MGOGORO WA CHWAKA NA MARUMBI: Serikali ya Dk. Salmin itafute ufumbuzi 
Na Mwandishi Wetu, Pemba 

MAPENDEKEZO YA KATIBA YA SHIRIKISHO LA TANZANIA - 4 

Kwa nini walengwa wa mabomu wawe ni Marekani? 
Na Maalim Ali Bassaleh 

Profesa amekosea kusema kwamba... 
Na A.M. Hamza 

Ugaidi ni ugaidi, hata wa Marekani ni ugaidi 
Na Maalim Ali Bassaleh 

Dhana ya Udugu wa kiislamu 

UGAIDI: Chanzo si magaidi, ni dhuluma ya Marekani 
Na HASSAN KIMANGALE 

Jengeni familia bora 
Na Abuu Said, Iringa 

Tuwasaidie Waislamu kielimu na kiuchumi - Bi Zuhura 
Na SAID RAMADHANI KISSIMBA 

Tumieni uhuru wenu vyema 
Na Abuu Zaina, Iringa 

Hoja za kutofautisha Yesu na Issa ni udhaifu,  ni uzushi mtupu! - 4  
Na Muhibu Said 

Mihadhara ya Wakristo yatawala Handeni 
Na Mwandishi Wetu, Handeni 

Ziara ya Kadinali Pengo Moro  
Na Mussa Ally, Morogoro 

Aonyesha ujuzi wa kutengeneza Trekta 
Na Mwandishi Wetu 

Waislamu wasizifanye sharia za dini kuwa nzito – Sheikh Mzonge 
Na Ashraf  Yusuf, Moshi 

Sengerema waomba msaada 
Na Idd Katimba, Mwanza 
 
Mafundisho ya Quran 

Barua za wasomaji 

Mashairi: 

Masomo ya dini ya Kiislam 

Chakula na Lishe 
Matunzo ya mtoto mwenye lishe duni 

Matangazo 
  

 

 

 

 
 Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu:
Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita