An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na.165 Jamadul Awwal 1419, Septemba 4 - 10, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet


Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Wazazi walia na Mkuu wa shule Mkwawa

Na Mwandishi Wetu, Iringa

WAZAZI ambao hawakutaka majina yao yafahamike wamemuandikia barua Katibu Mkuu Wizara ya Elimu kumlalamikia kuwa wanafunzi watano wa kike wa Kiislamu wa shule ya sekondari ya Mkwawa wanatukanwa, wananyanyaswa na kusumbuliwa kwa sababu ya kuvaa hijabu.  Endelea..
 

Aliyeandika Yesu si Mungu bado akabiliwa na kesi

- Adaiwa kujeruhi imani ya wengine
- Ahoji waliojeruhiwa wako wapi?
- Ustaadh Uliza arejeshwa rumande

Na Mwandishi Wetu

KIJANA Latifu Ismail Khan ambaye alikamatwa kwa kuandika baiskeli yake "Yesu si Mungu" bado anakabiliwa na kesi ya jinai kwa kile kilichodaiwa kwamba ni kuhatarisha amani.  Endelea..


YALIYOMO
 
TAHARIRI 
HAKI YA KUABUDU MASHULENI: Hoja ya uwingi isizuie haki ya wachache 

Aliyeandika Yesu si Mungu bado akabiliwa na kesi 
Na Mwandishi Wetu 

Wazazi walia na Mkuu wa shule Mkwawa 
Na Mwandishi Wetu, Iringa 

Serikali iache kudhulumu  Waislamu - Bakwata  
Na Mwandishi Wetu

KESI YA MIRATHI: Hukumu ya Jaji Agostino yatupwa 
Na Mwandishi Wetu 

Sumaye sasa atoa ‘waadhi’ Msikitini 
Na Mwandishi Wetu, Arusha 

Sekondari ya Kiislamu Sumbawanga, mtihani kwenu – Sheikh Akilimali 
Na Harun Rashid, Sumbawanga 

37 wasilimu  Mwanza 
Na Mwandishi Wetu, Mwanza 

Akamatwa kwa kusoma gazeti la ANNUUR ! 

MGOGORO WA CHWAKA NA MARUMBI: Serikali ya Dk. Salmin itafute ufumbuzi 
Na Mwandishi Wetu, Pemba 

MAPENDEKEZO YA KATIBA YA SHIRIKISHO LA TANZANIA - 4 

Kwa nini walengwa wa mabomu wawe ni Marekani? 
Na Maalim Ali Bassaleh 

Profesa amekosea kusema kwamba... 
Na A.M. Hamza 

Ugaidi ni ugaidi, hata wa Marekani ni ugaidi 
Na Maalim Ali Bassaleh 

Dhana ya Udugu wa kiislamu 

UGAIDI: Chanzo si magaidi, ni dhuluma ya Marekani 
Na HASSAN KIMANGALE 

Jengeni familia bora 
Na Abuu Said, Iringa 

Tuwasaidie Waislamu kielimu na kiuchumi - Bi Zuhura 
Na SAID RAMADHANI KISSIMBA 

Tumieni uhuru wenu vyema 
Na Abuu Zaina, Iringa 

Hoja za kutofautisha Yesu na Issa ni udhaifu,  ni uzushi mtupu! - 4  
Na Muhibu Said 

Mihadhara ya Wakristo yatawala Handeni 
Na Mwandishi Wetu, Handeni 

Ziara ya Kadinali Pengo Moro  
Na Mussa Ally, Morogoro 

Aonyesha ujuzi wa kutengeneza Trekta 
Na Mwandishi Wetu 

Waislamu wasizifanye sharia za dini kuwa nzito – Sheikh Mzonge 
Na Ashraf  Yusuf, Moshi 

Sengerema waomba msaada 
Na Idd Katimba, Mwanza 
 
Mafundisho ya Quran 
Mfalme aliyehojiana na Ibrahim kuhusu Mungu Muumba 

Barua za wasomaji 
[Nani gaidi Usama au Clinton?] . [Madrasa ziboreshwe] . [Wapenda amani wa Tanzania mbona kimya] . [Utamaduni wa Kimagharibi utatuangamiza] . [Marekani ishitakiwe] . [Mauaji ya Mwembechai ni nusra kwetu] 

Mashairi: 
[Utenzi wa Kongamano akinamama Tanga] . [Haki ] . [Yataka kutafakari]. [Mkwezi (swali na. 1)] . [Mola muweke peponi (Siraji)] . [Ni basi tumeuawa?]  
 
Masomo ya dini ya Kiislam 
[Fiqh Form III: Haki mbali mbali katika Uislamu] . [Tawhiid Form V: A comprehensive definition of Religion] . [Tawhiid Form V: Concept of Education] 

Chakula na Lishe 
Matunzo ya mtoto mwenye lishe duni 

Matangazo 
 

 
 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi:
Bonyeza hapa
Au
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book