AN-NUUR 
Na.176 Shaaban  1419, Novemba 20 - 26, 1998 
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
Fikra

SITA: MBILI: TANO: MOJA: SABA
Anuani ya fikra
Na Abu Halima Sa Changwa
 
 

KATIKA uwanja huu wa fikra, kuna hoja inayoitwa argument ad hominem. Neno argument tunaweza kulitafsiri kama hoja. Ad hominem ni neno la Kilatini lenye maana "kuelekeza kwa mtu". Watu wanaotumia hoja hii, hasa katika kuongelea sauala fulani, huacha suala lenyewe (issue) na kuelekeza mashambuli kwa mtu, labda kwa vile wanamchukia au ni mpinzani wao. Mfano wa hoja hii ni kama vile kusema: 

Sera za mgombea mwenzangu zinaonekana ni nzuri, lakini hamjui kama hana mke? Mtaongozwaje na Rais asiye na mke! 

Hoja hii husaidia sana, hususan muongeaji anapoongea na watu mambumbumbu. Wao huchukuliwa zaidi na udhaifu wa mtu wa kibinadamu na kutokufikiria uwezekano wa mtu huyo kuwasaidia. Baada ye wanaanza kujuta na kumnunia mtoa hoja anapopita, na kuwashangilia ambao hawako madarakani. 

Hii imetokea hivi majuzi. Suala la kujadili ni kuibiwa mitihani, lakini mtu anaamua kuelekeza mashambulizi kwa mtu. Utasikia: "Oh, anaitwa Juma. Tangu lini akina Juma wakaweza mambo? Oh, ana Kipara, Oh awapuye wenzake, kisha ajipuye mwenyewe". 

Shambulieni issue, msishambulie mtu. 
 

Juu 
 

YALIYOMO 
 
Maoni 
Kuwa na mawazo ya kufugwa tunajidharaulisha 

Sakata la mabucha  ya Nguruwe kuibuka upya 
Na Mwandishi Wetu  

Kondom sio kinga ya Ukimwi 

Bakwata yairushia polisi makombora Ngaramtoni 

MACHO YA SHUTUMA 
Na Abu Halima Sa Changwa 

Serikali yatakiwa iwachukulie hatua wauaji 
Na Mwandishi Wetu 

Historia ya Msikiti wa Ngaramtoni 

Silaha yetu ni kura ya pamoja 
Na Alhaj Yusuf Kalala, Washington DC  U.S.A 

Anuani ya fikra 
Na Abu Halima Sa Changwa 

Kuukaribisha mwezi mtukufu 

Tunahitaji "UN' ya Waislamu! 
Na Said  Rajab 

Kongamano la wanawake wa Kiislamu Newala lafana 

Umuhimu wa Elimu ya Awali kwa watoto wadogo - 2 
Na Ustaadh Kupa Pazi Said 

Kesi mojawapo ya mihadhara yafutwa 

Wasaidieni watoto wenye vipaji - Prof. Kilonzo 

Mahafali ya kidato cha nne Thaqafa: Wazazi wakumbushwa wajibu wao 

Wanafunzi Mwanza wadai haki za kuabudu mashuleni kwa usawa 
Na Iddi M. Katiba, Mwanza 

Saidianeni katika shida - Sheikh Abdallah 

Waislamu, Wakristo Rufiji watakiwa kuunda umoja 

Someni  muiokoe jamii kimaadili 

Acheni Shirki 

Kesi nyingine ya Waislamu Mwembechai yaahirishwa 
Na Muhibu Said 

Kusilimu kwa Wakristo kwaleta kero Mwanza 

Nzasa waomba msaada wa chakula, madawa 

Katibu wa Bakwata Moro ang'olewa Msikitini 

Masomo ya Dini ya Kiislamu  

Barua za Wasomaji 

Mashairi 

Chakula na lishe 
[Umuhimu wa chakula katika shule za awali]  

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita