|
Na.175 Rajab 1419, Novemba 13 - 19, 1998 |
|
"Same Islamic College" ni taasisi ya
Elimu ya Kitaifa inayokusudiwa kutoa elimu katika ngazi zote kuanzia Chekechea
hadi Chuo Kikuu, Insha-Allah.
(1) Benki A/c ya Islamic Propagation
Centre
1. MADA KUU: Ajenda ya vijana wa Kiislamu katika ardhi ya Tanzania. 2. TAREHE: 14/12/98 - 16/12/98 3. WALENGWA: Wanafunzi wavulana ambao ni Waislamu kutoka katika shule za sekondari na vyuo nchini Tanznaia 4. IDADI: Wajumbe hamsini 5.MGAWANYO WA USHIRIKI. Kila mkoa (kwa Bara) una nafasi ya wajumbe wawili. Mikoa yote ya Tanzania Visiwani ina nafasi za wajumbe watano. (Unguja wajumbe watatu na Pemba wawili). 6.WENYEJI: Jumuiya ya wanafunzi Waislamu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (MSAUD) 7. GHARAMA. Kila mkoa ugharamie usafiri kwa wajumbe wake. Chakula na malazi kwa siku za semina ni juu ya MSAUD. 8. NAMNA YA KUSHIRIKI: Maombi ya kushiriki (kutoka kwa viongozi wa Waislamu) yatumwe kwa kamati ya Semina kabla ya tarehe 30/11/98, kwa anuani hizi:- (a) S.L.P. 35152, Dar es Salaam. (b) Simu ya kawaida 051-807 & 43. Piga saa za kazi uliza Abasi au Mbwana. AU 051-807443 Piga usiku uliza Hashimu. Simu ya mkononi 0811-330012 uliza Mbwana. MUHIMU: Wasioomba na kupata majibu hawataruhusiwa kushiriki katika semina. Hivyo, maombi yaletwe pamoja na anuani kamili na hasa namba za simu (kama huduma hiyo ipo:- Shuleni, chuoni au kwa Mwislamu binafsi). 9. KURIPOTI: Wajumbe wafike katika Msikiti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tarehe 13/12/1998 saa 10.00 jioni mpaka saa 2.00usiku. 10.UKUMBI WSA SEMINA. Sekondari ya Kiislamu ya AL-Farouq, Tabata, Dar es Salaam. Sahiba Sisters Folundation inapenda kuwakumbusha wanamtandao wote na Vikundi vya Wanawake wa Kiislamu kwamba Warsha ya Pili ya Da’wah na Maendeleo itafanyika Inshallah, baina ya tarehe 19-23 Disemba 1998. Tafadhali jaza fomu na irudishe kwa Mratibu kabla ya Novemba 25, 1998. Kila mjumbe atapaswa kuchangia Tshs. 10,000 naziwasilishwe kabla ya siku ya warsha. Jina la Kikundi ............................................ Idadi ya wajumbe watakaoshiriki katika warsha: mmoja/wawili (kama zaidi ya wawili wasisliana nasi kabla) Jina la Mjumbe.......................................................................................... Jina la Mjumbe......................................................................................... Je utakuja na mtoto mdogo? ndiyo/ hapana Tarehe ya kuwasili............................................................ Utahitaji Sahiba ikusaidie kutayarisha sehemu ya kufikia? ndiyo/hapana Kama ndiyo unaweza mwisho kugharamia kiasi gani? Tshs...................................................................
|
YALIYOMO
Maoni Kuvuja kwa mitihani: Tuweni wakweli kwa nchi yetu Katibu
wa Baraza Kuu azikwa Dar
Ubabe
wa madhalimu kuzimwa:
MACHO
YA SHUTUMA
Wazo
mpachiko (Programmed mind)
Ta'azia: Abbas Shaaban Kilima 1938-1998 Mdahalo
kati ya Waislamu na Wakristo- 4
Siri
ya Miujiza
Umuhimu
wa Elimu ya Awali kwa watoto wadogo
Ifahamu
Madrasat Ghazal Muslim - Moro
Pamoja
na sala, tusimamishe zakah
Aina
za maudhi yaliyoharamishwa juu ya Muislamu
Israi
na Miiraji ni miujiza
Pamoja
na ahadi ya Serikali kuzifuta: kesi za mihadhara zaendelea mahakamani
Waislamu Uluguruni Moro wazama kwenye matambiko Imarisheni
miradi ya elimu - Prof. Mikidadi
Teknologia:
Jifunze Kuunganisha Kompyuta (5)
Mafunzo
ya Qur'an
Chakula
na lishe
|