AN-NUUR 
Na.172 Rajab 1419, Oktoba 23 - 29, 1998 
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
 
Dondoo za saikolojia 

Tuonavyo mambo 

MACHO yetu yana udhaifu wa hali ya juu, kwa vile hutupa taswira ambazo sisi hudhani ndizo kumbe sizo. Inavyotakiwa ni mtu kuona kwa fikra, na sio kwa kiungo tu cha kuonea, yaani jicho. 

Jicho la fikra huona mbali na vizuri kuliko hili la kiungo. Hebu angalia taswira iliyoambatanishwa hapa. Je, unaona nini? Wengi wetu tunaona nyuso mbili za watu zinazotizamana. Lakini mchoraji hakutaka kuchora watu, alichotaka kionekane ni taswira nyeupe iliyo ndani ya weusi. Je, hujaona chombo cha kuwekea maua? (vase).Usipende kurukia kusema suala ni hivi kama ulionavyo wewe, bali ufanye jitihada kulitafutia vigezo vyote. Mwenyezi Mungu tu pekee ndiye awezaye kusema suala liko hivi na ikawa fasaha mia kwa mia, ndio maana Waislamu tunatakiwa kutegemea maelekezo ya Allah (s.w.) peke yake kutoka kwenye Qur’an, hata kama sisi tunayaona mambo vingine. 
 

Juu 
 

YALIYOMO 
 
 

TAHARIRI 
Kuangukia makaa hakuna nafuu kwa aliye kikaangoni 

Wanawake Dodoma wataka mtoto aliyepigwa risasi akatibiwe nje 

Kesi za Mwembechai zaanza kusikilizwa 

Fitna ya Bakwata 

Dondoo za saikolojia: Tuonavyo mambo 

Waraka wa Baraza Kuu kuhusu Parole 

Inawezekana kufanyika mdahalo kati ya Waislamu na wasio Waislamu? 
Na Nandenga wa Mkomidachi 

Teknologia 
Jifunze Kuunganisha Kompyuta (2) 
Na Hassan Omar 

Serikali ihamie Dodoma kwanza ! 
Na. Said Rajab 

Mahafali ya AMSIR Iringa 
Na Mwandishi Wetu 

Madrasatul Nnajjary Islamiya 

Ijue Madrasatul Riyaadh 

Bihawana Sekondari wafungua Ijumaa 

Vijana Shinyanga watakiwa kuwa mfano mwema 
Na Jihad R. Saballa, Shinyanga 

Vyeo visiwasahaulishe majukumu yenu- Sheikh Abri 
Na Mwandishi Wetu, Iringa 

Jiandaeni na kifo – Sheikh Abdallah 
Na Mwandishi Wetu, Dodoma 

Semina zawazindua wanawake Bukoba 
Na Nadhiru Ishengoma 

Waislamu wanaomaliza Kidato cha Nne Tanga waaswa 
Na Ibn Mohamed 

Ndugu Kamuhabwa ndiye mwenye chuki na AN-NUUR 
Mwandishi: Maalim Bassalah 

'Ukombozi wa mwanamke si kugeuzwa biashara huria' 
Na Japhary Lemah, Arusha 

Polisi walinda amani katika muhadhara wa Wakristo 
Na Badru Kimwaga 

Mazengo wapewa uwanja wa kujenga Msikiti 
Na Mwandishi Wetu, Dodoma 

'Ajiengua Chuoni Z'bar kwa kutoruhusiwa kuvaa hijab' 
Na Seif Hamad Suleiman, Zanzibar 

Barua za wasomaji 

Masomo ya dini ya Kiislam 

Shairi 
Simlazimishe Yesu ukombozi wa ulimwengu (jibu) 

 

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita