|
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na.167 Jamadul Akhir 1419, Septemba
18 - 24, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam Toleo
la Internet
Wakatoliki wasema kuna njama za Waarabu Same
Na Mwandishi Wetu
HABARI kutoka Duma wilayani Same zimeeleza kwamba Wakatoliki wamepinga hukumu ya mahakama ya mwanzo iliyowapa ushindi Waislamu katika Shauri la Madai No. 63/98.
Katika kupinga kwao hukumu hiyo Wakatoliki wamedai kwamba wana ushahidi
kwamba Waislamu wamepatiwa fedha kutoka Iran, Iraq, Somalia na Zanzibar.
Endelea..
Ufugaji, uuzaji nguruwe wakera wananchi Dar
Na Mwandishi Wetu
UFUGAJI, uuzaji na uchomaji wa nyama ya nguruwe umeelezwa kuwakera wananchi wengi Jijini, ANNUUR imefahamishwa.
Kumekuwa na malalamiko kutoka sehemu mbalimbali za Jiji kuhusiana na kuzagaa nguruwe na jinsi wahusika, Tume ya Jiji, wasivyoyapa uzito malalamiko hayo ya wananchi hao. Endelea...
|
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza
hapa |
|