AN-NUUR 
Na.188 Shawwal 1419, Februari 12 - 18 , 1999 
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA MWEMBECHAI
 
 
Maazimio ya Maimamu Dar
•Kuzidisha ushirikiano baina ya Waislamu wakati wa matatizo. 

•Kuwahamasisha waumini waende kwa wingi mahakamani wakati wa kesi. 

•Rais Mkapa atoe majibu haraka hasa kwa tukio la Mwembechai kwani tayari limetimiza mwaka mmoja. 

•Mtoto Chuki Athumani akatibiwe nje, huruma ya Rais ianzie katika matibabu ya mtoto huyu. 

•Rais awe muwazi katika suala la Mwembechai 

•Pongezi kwa Mh. Kitwana Kondo kwa kufikisha masuala ya Waislamu Bungeni. 

•Misikiti yote kuanzia leo (11/02/1999) isome Qur’an, Qunuti (kutwa - kucha) ikiwa ni ishara ya kukumbuka unyama uliofanywa na serikali dhidi ya Waislamu Februari 11 - 13, 1998. 

•Siku ya mauaji ya Waislamu ikumbukwe kila mwaka nchi nzima. 

•Kuwaalika watalaamu wa Kiislamu Misikitini hasa wa masuala ya kisiasa ili wawaelekeze waumini masuala mbalimbali ya kijamii na nafasi yao katika ujenzi wa nchi yao.

Juu 
 
YALIYOMO 
  

Tahari 
Tusirudishane nyuma 

Mwaka mmoja wa mauaji ya Mwembechai: Waliouawa ni wanne
Na Mwandishi wetu

Waasisi wa TAA waibuka kupigania haki zilizoporwa

Kuhujumiwa Waislamu kielimu: Mzazi adai mwanafunzi Adam Rashid kafelishwa

Maoni yetu: Tuondoleeni wenye mikono ya damu

MARADHI YA KISAIKOLOJIA: MULTIPARAPHILIASIS

Askari wa Tume ya Jiji wapora mkaa

Kuchangia Radio Kheri Broadcasting Station

Yesu Kristo na Yohana Mbatizaji
Na BERNARD B. MWENDA

Wakereketwa CCM wawakosha wauaji wa Mwembechai
Na Idd Kikong’ona, Morogoro

Ufugaji holela wa nguruwe waikumba Dodoma
Na Abu Zubeir, Dodoma

Watembelea na kusaidia wagonjwa Arusha

Mkuu wa wilaya awatimua Masheikh ofisini kwake
Na Mwandishi Wetu, Morogoro

Kutoka magazeti ya zamani

Sayansi na Teknolojia 
[Windows: Mambo Mazuri ya Kuyajua] 

Masomo ya Kiislam 

Barua za Wasomaji 

Mashairi

Chakula na Lishe 
[Kauli hii ya serikali itatumaliza Watanzania kwa njaa] 

Kumbukumbu ya mauaji Mwembechai 
[Maazimio ya Maimamu Dar]
 
 


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita