An-nuur Logo   
 
 
 
 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na.158 Rabi' Awal 1419, Julai 17-23, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet


Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

SUALA LA MWEMBECHAI

Wabunge wataka kujua nani aliamrisha kuua

Na Mwandishi Wetu

WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania wameitaka serikali ieleze ni nani alitoa amri ya kuuliwa wananchi pale Mwembechai. Aidha wabunge hao wanahoji ni hatua gani zimeshachukuliwa dhidi ya Polisi walioua na ni kwa nini serikali inakuwa na tabia ya ubalakala katika utendaji wake
... Endelea
 

Katiba ya nchi yapuuzwa:

Waislamu wapigwa marufuku kuhubiri

Na Muhidini Mustafa

HUKU serikali ikiendelea na madai yake kwamba haina chuki na Waislamu na kwamba haijazuia mahubiri ya dini, mjini Mwanza Kamanda wa Polisi Wilaya amepiga marufuku mahubiri hayo kinyume na katiba ya nchi.
...Endelea


YALIYOMO
 
TAHARIRI 

Maoni yetu: Wananchi kataeni kupotoshwa

SUALA LA MWEMBECHAI: Wabunge wataka kujua nani aliamrisha kuua
Na Mwandishi wetu 

Katiba ya nchi yapuuzwa: Waislamu wapigwa marufuku kuhubiri 

Mtihani darasa la saba 1998: Manispaa Moro yaagiza ipewe majina ya wanafunzi Wakatoliki
Na Rajab Rajab, Morogoro

 “Wushu”ya Waislamu wa China na jinsi ilivyowasaidia kupambana na dhulma dhidi yao
Na MUSSA ALLY 

Yesu wa kwenye Mathayo siyo Yesu wa kwenye Luka
Na. Masoud Mohammed

Ni nani hawa Waislamu wa Siasa Kali ?
Na USTADH  A.S. FUNDI 

Waislamu tuondokane na unyonge
Na Abubakar Marwilo

Maisha ya ndoa kwa Mwislamu

Waislamu wana mwelekeo wao
Na Sheikh Pandukizi Dilunga

Ni mwaka gani Yesu alianza kuitwa Mungu
Na MCHUNGAJI A.T. MANONI 

Wanawake wameamua kuwa wazi kweli kweli
Na Bi. Fatma Musa

Kimya kingi kina mshindo mkuu: Vipi Mhe. Rais wale walioua?
Na Mussa Ally

Mtazamo wa madhalimu wa Tanzania kwa Waislamu
Na Rajab Isa

Aliyoyasema KK bungeni

Waislamu mkoa wa Morogoro wampinga Yahya
Na. Abu Adli 

Polisi wachafua mazingira ya msikiti wa Mwembechai
Na Badru Kimwaga

Wanawake wa Kiislamu Ubungo darajani wamuunga mkono Sheikh Bafadhil
Na Kassim Juma

Barua za wasomaji 

Mashairi 

Mafundisho ya Qur'an: Kanuni za kumkumbuka Allah na kutumia katika njia yake

Masomo 

Chakula na lishe: Lishe ya mtoto aliyekuwa mgonjwa
Na Mujahiid Mwinyimvua
 

 

 
 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi:
Bonyeza hapa
Au
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book