|
Na. 049 Jumatano Mei 24 - 30, 2000 |
|
|
|
|
|
Na Mwandishi Wetu Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanafanyia mitihani yao ya mwisho wa mwaka katika bwalo la chakula. Mpaka jana tayari mitihani miwili ya Kiswahili na elimu ya jamii ilishafanyika katika bwalo linalojulikana kwa jina la HAVARD. Bwalo hilo limesimamisha kabisa huduma ya chakula kwa wanafunzi tangu mitihani hiyo ilipoanza, jambo ambalo limelalamikiwa na baadhi ya wanafunzi walioongea na mwandishi wa habari hizi. “Kufungwa kwa ‘havard’ kunasababisha tusongamane katika mabwalo mengine kitendo ambacho kinatupa usumbufu na kinakula muda wetu wa masomo”, alilalamika mwanafunzi mmoja aliekataa kutaja jina lake na kuongeza “kama mwendo ndio huu itafikia mahali mabwalo ya chakula ya tatumika kama madarasa.” Juhudi za kuwapata viongozi wa chuo hicho kikongwe
nchini hazikufanikiwa ili kuelezea utaratibu huo mpya wa kufanyia mitihani
katika bwalo la chakula.
|
YALIYOMO
TAHARIRI
Chuo Kikuu Dar wafanya mitihani katika Bwalo la chakula Udini wa CCM utaisambaratisha nchi -Tambwe ‘Kutoweka’ kanda ya Kakobe: CCM yatuhumiwa Maalim Seif awaambia Wazanzibari: Wenye mamlaka ya kumuweka mtu Ikulu ni wananchi Mkapa afurahia maendeleo Pwani ‘Zawadi’ ya Uchaguzi yatishia kusambaratisha taasisi ya Kiislam Tanga Serikali yakemea mwanamke kudhalilishwa Ushauri Nasaha
MAKALA
Makala
Kalamu ya Mwandishi
MAKALA
Makala
Makala
RIWAYA
Lishe
|
|
|
|
|