An-nuur Logo
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na.164 Jamada Awal 1419, Agosti 28 - Septemba 3, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet


Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Bakwata yalaani ubabe wa Marekani

- Yasema sheria haziruhusu
- Serikali yapiga kimya
- UN yakiri ni kosa lakini yagwaya

Na Mwandishi Wetu

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoani Mwanza limesema kwamba linalaani kitendo cha Marekani kuzipiga mabomu nchi za Sudan na Afghanistan. Endelea..

Africa Muslims Agency: Inavyohudumia jamii

Na Mwandishi Wetu

AFRICA Muslims Agency (AMA) ni shirika la kutoa huduma kwa jamii lisilo la Kiserikali (NGO) ambalo limesajiliwa nchini toka mwaka 1987.

Shirika hili ni mwanachama hai wa Baraza la Maendeleo ya Jamii Tanzania (TACOSODE) na kamati ya kitaifa inayotoa misaada wakati wa maafa (TANDRED).

Shughuli za AMA zina lenga kuboresha huduma za jamii na maendeleo kupitia miradi yake ya elimu, afya na misaada ya kibinadamu. Endelea..



YALIYOMO
TAHARIRI: Dawa ya ugaidi si kufanya ugaidi ndani ya ugaidi

Bakwata yalaani ubabe wa Marekani 
Na Mwandishi Wetu

Wanakijiji wawapiga Polisi Olesiva
Na Mwandishi wetu, Arusha

Waislamu washinda kesi Same
Na Mwandishi Wetu, Same

Wasafiri ATC wadai ndege ya Jeddah inahujumiwa 
Na Mwandishi Wetu

KOSOVA: Bosnia nyingine

Mahojiano kati ya CNN na Bwana Usama bin Ladin

Historia ya damu za mashujaa Afghanistan

Msikiti wa Wagoma Kigoma wapata viongozi wapya
Na Suleiman Simba, Kigoma

Muhadhara wanguruma Masjid Hijaz
Na Said Shariff

Waislamu waitumie Misikiti ipasavyo
Na Ashraf Yusuph, Moshi

Mpango wa kudhibiti uzazi utawaangamiza wengi
Na Mwandishi Wetu

Hoja za kutofautisha Yesu na Issa ni udhaifu,  ni uzushi mtupu! - 3
Na Muhibu Said

Wanawake wa Kiislamu washiriki maonyesho ya kilimo
Na Habiba Swedi

Wanawake wa Kiislamu washauriwa kupigania haki zao 
Na Habiba Swedi, Arusha

Africa Muslims Agency: Inavyohudumia jamii
Na Mwandishi Wetu

Kitengo cha Zakkah chasafirisha wanafunzi
Na Mwandishi Wetu

Kupinga kifo cha Yesu ni kumpinga Mungu?
Mahfudhi M. Mahfudhi

MAONI: Porojo za Ngatara -2

Zanzibar na  biashara ya utumwa
Na J. Hussein

Marekani ishitakiwe
Na Abubakar Msham

MAPENDEKEZO YA KATIBA YA SHIRIKISHO LA TANZANIA - 3

Mafundisho ya Quran

Barua za wasomaji

Mashairi

Masomo ya dini ya Kiislam

Chakula na Lishe
 


 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi:
Bonyeza hapa
Au
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book