AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet


Serikali yadaiwa kuhatarisha amani


IMEELEZWA kuwa pamoja na serikali ya Tanzania kufahamu kuweko kwa hali inayotishia amani ya nchi kutokana na madai ya Waislamu kwamba wanabaguliwa; imeamua kukaa kimya badala ya kutafuta ufumbuzi.

Hali hiyo imekuwa chachu ya kudidimia amani ya nchi huku hali ikizidi kuwa mbaya kila siku.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyochapishwa na serikali ya Marekani hivi karibuni; Tanzania imeelezwa kutoa uhuru wa dini lakini wakati huo huo imedaiwa kukabiliwa na shutuma kutoka kwa Waislamu kuwa inawabagua na kuwapendelea Wakristo. Endelea...
 

'Mchawi' wa hesabu aibuka Tanzania


TABASAMU Karimu (15) amekuwa ni alama katika alama za Mwenyezi Mungu kutokana na uwezo usio wa kawaida alionao katika somo la hesabu.

Binti huyo ambaye hajamaliza elimu ya msingi ana uwezo wa kufanya hesabu kubwa iwe ni kutoa, kujumlisha, kuzidisha, kugawanya, vipeo na kadhalika na kutoa majibu kwa muda mfupi bila ya kuandika mahali. Endelea..


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org

 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam