AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
|
Maskini Zanzibar! Kumbe ndio hivyo
Hayo ni maneno ya Seif Sharif Hamad alipohutubia umati wa wananchi wa Unguja hivi karibuni.
Maalim Seif anayegombea Urais kupitia CUF alikuwa akichambua jinsi Zanzibar inayoathiriwa na mfumo wa sasa wa Muungano.
Amesema, kwa mfumo wa sasa wa Muungano Zanzibar hairuhusiwi kuwa na Benki Kuu ambapo Waziri wake wa Fedha huwa tu kama karani aliyevikwa kilemba cha ukoka. Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam