AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Toleo la Ijumaa (linatayarishwa)
 Toleo la Jumanne

CCM imefuja amani - Lipumba

CHAMA Cha Mapinduzi, kimeshutumiwa kwa kufuja hali ya amani na utulivu nchini.

Prof. Ibrahim Lipumba amesema, CCM imeshindwa kutumia hali hiyo ya amani kusimamia vizuri mipango ya maendeleo.

Amesema, kwa kufuja hali hiyo Tanzania hivi sasa imekuwa nchi ya 5 kwa umaskini ikiwa juu ya nchi zile ambazo zina vita vya ndani ambazo ni Eritrea, Ethiopia, Siera Leone na Liberia.

Prof. Lipumba ameyasema hayo, alipokuwa akiwahutubia wananchi mjini Muheza hivi karibuni. Endelea...


Soma NASAHA, Gazeti jipya kwenye mtandao...

To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search". 



Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org


An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam