AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Waislamu
kuandamana Dar kulaani Russia
-
Maandamano kuishia Ubalozi wa
Russia
-
Wengine wataka kushiriki mapigano
Chechnya
WAISLAMU Jijini Dar es Salaam huenda wakaandamana
siku chache zijazo kulaani majeshi ya Russia kuvamia Jamhuri ya Chechnya.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwepo kwa
harakati za maandalizi ya maandamano hayo yanayotazamiwa kumalizikia Ubalozi
wa Russia jijini.
Endelea...
To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search".
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi
na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtanzania.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam