AN-NUUR

Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania

Toleo la Internet


Changieni maendeleo ya Uislamu- Sheikh Mbukuzi

IMAM Masjidi Mujahiduun Sheikh Juma Mbukuzi ambaye pia ni Amir wa Waislamu mkoa wa Dar es Salaam amewataka Waislamu wachangie maendeleo ya Uislamu kwa hali na mali kwa kutaraji radhi za Allah (s.w.).

Sheikh Mbukuzi amesema Waislamu wanatakiwa watumie fursa waliyonayo/wanayoipata katika kuchangia na kuleta maendeleo katika Uislamu. Endelea...


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji


   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org




 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam