AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Watofautiana juu ya Dua ya Mwalimu Nyerere
 

KATIKA hali isiyo ya kawaida Masjid Shadhily juzi katika swala ya Asri kuliswaliwa jamaa tatu kwa wakati mmoja huku waumini wengine wakiukimbia Msikiti kuwahi kuswali katika Misikiti ya jirani.

Waumini mbalimbali walioswali katika Msikiti huo wameeleza kuwa kundi moja likiwa na Imam wake liliswali katika korido nje huku waliokuwa ndani wakimfuata Imam wa kawaida.

Imeelezwa pia kuwa sehemu ya walioswali juu waligawanyika makundi mawili. Kundi moja lilimfuata Imamu wa kawaida wakati kundi lingine liliunda jamaa yake.  Endelea...


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam