AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Rais aondolewe madaraka ya kuteua waandamizi
  Na Mwandishi Wetu

RAIS wa nchi asiwe na madaraka ya kuteua watendaji waandamizi wa serikali, ambacho angefanya ni kupendekeza majina na Bunge likatibitisha au kukataa.

Maoni hayo yalitolewa katika kipindi cha Katiba yetu kilichorushwa na kituo cha DTV wiki iliyopita.

Wakizungumza kwa pamoja katika kipindi hicho, Sheikh Abubakar Mwilima, Dk. Abdallah Safari na Sheikh Othman Matata wamesisitiza kupunguzwa kwa madaraka ya Rais katika marekebisho ya Katiba yanayokusudiwa kufanywa hivi karibuni.  Endelea....


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam