AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Chuo
cha Biblia bado kimefungwa
-
Baadhi ya wanachuo wafukuzwa
-
Wengine wahamishiwa vyuo vingine
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
CHUO cha Biblia cha Kanisa
la Inland Church kilichopo Katunguru Sengerema bado kimefungwa. Aidha,
inasemekana kuwa baadhi ya wanafunzi wamefukuzwa na wengine kuhamishiwa
Vyuo vingine.
Mapema mwezi uliopiga mtafaruku
mkubwa ulizuka Chuoni, wanafunzi wa chuo hicho cha Biblia walipohoji tofauti
mbalimbali za ibada za Kikristo pamoja na mambo mengine. Endelea....
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi
na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtanzania.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam