AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Kufuatia
kukamatwa kwa Sheikh Waislamu wasema:
Polisi ikamate Wakatoliki
waliosoma Vaticani
-
Iache kufanya kazi kwa chuki
HUKU Waislamu wakiendelea kuitaka serikali
iwafikishe mahakamani waliochochea, kuamuru na kufanya mauaji Mwembechai,
Jeshi la polisi nchini limetakiwa kutokufanya kazi kwa chuki.
Aidha, jeshi hilo limetakiwa kuwapekuwa watokao
Vatican na Italia ambako imedaiwa ni makao makuu ya kikundi cha kigaidi
cha Mafia. Endelea...
Soma NASAHA,
Gazeti jipya kwenye mtandao...
To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search".
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na
masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtanzania.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam