AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet


Wazanzibari waambiwa:

Jihadharini na Pengo

WAZANZIBAR wametakiwa wachukue hadhari dhidi ya majaribio ya kutaka kuwaingiza katika balaa sambamba wakiitafakari kwa makini kauli ya Kardinali Pengo.

Aidha wametakiwa kuelewa historia ya kanisa Katoliki kuwa halijakuwa na rekodi nzuri hasa katika ukanda wa maziwa makuu pale linapojitumbukiza katika siasa.

Hayo yameelezwa na Wananchi kadhaa walioongea na gazeti hili mjini Zanzibar kufuatia kauli ya Kardinali huyo juu ya siasa za Zanzibar.  Endelea...

Majibu ya Raisi Mkapa kwa Waislamu


To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search". 



Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org


An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam