AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Baada ya serikali kukalia malalamiko yao:
Waislamu kuchukua haki zao kwa nguvu
WAISLAMU Jijini wameeleza kuwa haki ni kwa mtu yeyote na mtu akiikosa huinyang'anya kwa nguvu kwa sababu ni haki yake.

Aidha, wameihoji serikali ieleze inawatizamaje na inawapeleka wapi Waislamu kwa kutochukua hatua yeyote dhidi ya wale waliowaua Waislamu Mwembechai.

Wakizungumza katika kikao kilichoitishwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Iddi Simba walishangaa, kuhoji na kusema kuwa serikali zote duniani hujali maisha ya watu ambao utaratibu wa 'inquest' hufanyika ili kujua sababu za vifo vinavyotokea katika mazingira kama yale yaliyowakuta Waislamu Mwembechai; lakini serikali ya Tanzania ipo kimya kabisa katika suala la mauaji ya Mwembechai Endelea...


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam