AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Toleo la Ijumaa   Toleo la Jumanne

Wazee 132 Dar waihama CCM

WAZEE wapatao 132 katikati ya Kariakoo wameihama CCM na kujiunga na CUF.

Wazee hao wameweka tawi lao katika makutano ya barabara ya Tandamti na Msimbazi jirani na Msikiti wa Idrisa.

Mmoja wa wazee hao, Mzee Ali Mustafa Sigareti amesema ilikuwa tawi lao lifunguliwe rasmi na Prof. Lipumba Juni 17. Endelea...


Dar, Z'bar
Viongozi wa Msikiti wawekwa ndani

POLISI jijini imewakamata viongozi wa Masjid Ihsani uliopo Urafiki - Soko la ndizi.

Waliokamatwa na kuwekwa ndani ni Ustadh Nuhu Juma (Imamu wa muda), Ustadh Mwinyikambi Ahmad (Mwenyekiti) na Ustadh Amrani.

Hadi jana saa 2:00 usiku viongozi hao walikuwa bado wameshikiliwa na polisi Magomeni. Taarifa nyingine zilieleza kuwa wangehamishiwa Oysterbay. Endelea..


USIKOSE!!
Kitabu kipya cha Kompyuta kwa Kiswahili
Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi

Soma NASAHA, Gazeti jipya kwenye mtandao...

To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search". 



Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam