HABARI NA MATUKIO

Mlezi wa Jumuia Sheikh Suleiman Ali Yussuf alishiriki katika kuendesha mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Qura’n Tukufu yaliyonyika Mjini Dar es Salaam mnamo mwezi wa July 2012



















             Mshindi wa mashindano akipokea zawadi























Picha ya pamoja ya washindi wa mashindano, majaji, wageni rasmi na waendeshaji wa mashindano

UONGOZI MPYA WA JUMUIA

 

Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ulifanyika siku ya tarehe 3 Machi 2012. Madhumuni ya uchaguzi huo yalilkuwa ni kupata viongozi wakuu wapaya wa Jumuiya. Jumla ya kra zote zilizopigwa ni 95. Matokeo ya uchaguzi huo ni kama ifuatavyo:

 

             Amir

             Sheikh Ali Bakar Faki (66/95)

 

             Naibu Amir

             Sheikh Yusuf Faki Ismail (58/95)

 

             Katibu Mkuu

             Sheikh Rashid Suleiman Ali (95/95)

 

             Naibu Katibu Mkuu

             Sheikh Omar Idrisa Omar (59/95)

 

             Mshika Fedha

             Sheikh Amour Khamis Mbarouk (95/95)

 

             Naibu Mshika Fedha

             Sheikh Salim Juma Suleiman (77/95)

 

 

 

¨ Jumuia ya Kuhifadhisha Qur’an Pemba inawapongeza wanafunzi wote walioshiriki katika Mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Afrika ya Mashariki na Kati yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi wa Ramadhani mwaka huu wa 2010. Mashindano ya Afrika ya Mashariki na Kati hufanyika kila mwaka na hushirikisha washindanaji kutoka nchi hizi: Burundi, Kenya, Pemba, Rwanda, Tanzania Bara, Uganda na Unguja.

Yafuatayo ni majina ya wanafunzi walioiwakilisha Jumuiya katika mashindano na nafasi walizo chukua:

Wanawake:












Wanaume:






 

 

 

 




 

 

 

 


 

 

 

 

 

 

¨ Pongezi nyingi kwa mwanafunzi Mbwana Asaa Mbwana aliyetuwakilisha katika Mashindano ya Kusoma Quran ya Kimataifa, Dubai yaliyofanyika katika mwezi wa Ramadhani ya 2010. Mbwana Asaa alifanikiwa kuchukua nafasi ya saba katika mashindano hayo. Hii ni mara ya kwanza kwa mshirik kutoka Afrika ya Mashariki na Kati kufikia katika kiwango cha kumi bora kwenye mashindano haya.

Kijana huyu ndie aliyekuwa mshindi wa mwanzo  katika Mashindano ya Pemba kwa wanaume yaliyofanyika tarehe 4 Julai 2010.

 

 

¨ Jumuia inasikitika sana kwa kuondokewa na Mshika Fedha wake Sheikh Said Omar Ali (maarufu Said utenzi—alikuwa msomaji maarufu wa Tenzi katika shughuli za Chama cha CUF) kilichotokea siku ya Jumatano tarehe 30 Juni 2010 huko Dar es Salaam alikokwenda kwa ajili ya matibabu. Marehemu alizikwa siku ya pili yake tarehe mosi Julai 2010.

Marehemu Said Omar alikuwa ni kiungo kikubwa katika Jumuia ya Kuhifadhisha Quran Pemba na alikuwa ni miongani mwa wanachama waanzilishi wa Jumuia na pia muanzilishi wa harakati za mashindano ya kuhifadhi Quran ya Pemba.

JUMUIA YA KUHIFADHISHA QUR’AN PEMBA

æóáóÞóÏú íóÓøóÑúäóÇ ÇáúÞõÑúÂäó áöáÐøößúÑö Ýóåóáú ãöä ãøõÏøóßöÑò

Marehemu Al-Haj Said Utenzi

Mbwana Asaa Mbwana

(bonyenza picha kuona picha kubwa)

Wasiliana nasi

 

Kwa taarifa au maelezo yoyote kuhsu Jumuia, tuandikie kwa e-mail hii:

tahfidhpemba@gmail.com

 

 

Jina

Umri

Kiwango

Nafasi

Tartil

Ache Said Issa

14

10

4

 

Asha Bedran Nassor

14

20

2

 

Sada Said Suleiman

14

25

1

Tashjii

Riziki Moh'd Thabit

9

10

2

 

Zalha Abdallah Faki

17

30

1

 

Jina

Umri

Kiwango

Nafasi

Tartil

Omar Salim Omar

14

10

3

 

Badru Haji Massoud

14

20

1

 

Ali Mwalim Ali

18

30

4

Tashjii

Said Ali Abdallah

12

10

1