AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Jaribio la kugeuza Msikiti kuwa Kanisa, kupora nyumba za Wakf:
Waislamu wamsaka Mtikila

Na Mwandishi Wetu

WARAKA wa Mchungaji Christopher Mtikila uliodai kununua Msikiti hatimaye ugeuzwe kuwa Kanisa, umeleta hali ya wasiwasi ambapo taarifa zinafahamisha kwamba waumini kadhaa wa dini ya Kiislamu wameripotiwa kuwasaka Bwana Daniel Zakaria, Pius Kipengele na Mchungaji huyo maeneo mbalimbali ya Jijini.

Uchunguzi wa gazeti hili kwa siku tatu mfululizo wiki hii umethibitisha kuwepo kwa pilika pilika za waumini kufuatia hatua hiyo ya Mchungaji Mtikila. Endelea....


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam