JUMUIA YA KUHIFADHISHA QUR’AN PEMBA

æóáóÞóÏú íóÓøóÑúäóÇ ÇáúÞõÑúÂäó áöáÐøößúÑö Ýóåóáú ãöä ãøõÏøóßöÑò

FADHILA ZA KUHIFADHI QUR’AN

Karibu katika Tovuti ya JUMUIA YA KUHIFADHISHA QUR’AN PEMBA

Katika kurasa hizi utapata maelezo mengi yanayohu Jumuia hii pamoja na shughuli mbalimbali ambazo Jumuia inazifanya zikiwemo harakati za kuendeleza taaluma ya usomaji na tahfidh ya Qura’n Tukufu. Harakati hizi ni pamoja na kuratibu ufundishaji wa Qur’an, upanuzi na uboreshaji wa Madrasa za Qur’an, kuandaa na kuendesha mashindano ya Qur’an na kuanzisha miradi ya kuwaendeleza wanafunzi wa Qur’an katika elimu za kimaisha.

Tafadhali bonyeza katika mada zilizopo upande wa kushoto ili kupata maelezo zaidi juu ya mada inayohusika,

Jumuia ya kuhifadhisha Qur’an, ingawa ina malengo makubwa, lakini bado ni changa na inahitaji juhudi za makusudi za kila Muislamu mwenye ghera na dini yake kwa kuichangia kihali na mali ili iweze kufanikiwa katika malengo hayo. Ifahamike kuwa kufanikiwa kwa Jumuia ni kufanikiwa kwa kizazi kijacho katika masuala ya kidini na kidunia.

Tafadhali chagia juhudi hizi kwa kuwasikiana na Mlezi wa Jumuia kwa anuani ya e-mail hii: sayussuf11@yahoo.com

NEW:

                    Video za tafsiri ya Qur’an tukufu iliyotafsiriwa na mlezi wa Jumuiya Dr Suleiman Ally Yussuf

 

Wasiliana nasi

 

Kwa taarifa au maelezo yoyote kuhsu Jumuia, tuandikie kwa e-mail hii:

tahfidhpemba@gmail.com

 

 

Facebook - Wajulishe marafiki zako:

The Holy Prophet (peace be upon him) said that on the day of Qiyamah (Judgement Day), Hafizs of the Holy Quran will accompany the prophets and the pious people of Allah under His special care.

 

The Holy Prophet (peace be upon him) said a hafiz will be rewarded on the day of Qiyamah (Judgement Day), as will his or her parents, and will be granted the ability to intercede on behalf of ten family members.