A 'MUST READ' BOOK
The Life and
Times of
Abdulwahid Sykes
(1924 - 1968)
The Untold
Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika
By
Mohamed Said
kinachoelezea historia
ya Tanganyika na harakati za Waislamu dhidi ya ukoloni wa Waingereza, kinapatikana katika maduka ya vitabu jijini Dar es Salaam.
Kitabu hiki ambacho
ni matokeo ya utafiti wa kina uliofanywa na Mwanahistoria maarufu nchini
Bwana Mohamed Said, kimeandikwa kwa lugha ya Kiingereza kwa makusudio maalum.